You are on page 1of 9

FREEMASON

FREEMASON

FREEMASON

HAWA NDIO FREEMASON WAJUENI!!

(!! )
IMEKUSANYWA NA MMOJA KATIKA WANAFUNZI WA MARKAZ SHAIKHIL-SLAAMI IBN TAYMIYYAH

ABUL-AALIYAH UMAR MUHAMMAD KONDO POKEA

BOX 398

PONGWE TANGA-TANZANIA

FREEMASON

FREEMASON
UTANGULIZI

FREEMASON

Kila sifa njema anastahiki kusifiwa nazo Allaah mola mlezi wa viumbe,sifa ambazo zinakamilisha neema zake,na zinazolingana na fadhla zake,na swala na salaamu zishuke juu ya rehma iliyoongozwa na neema iliyotolewa bure,nayo ni mtume wetu Muhammad na ziwashukie watu wake na maswahaba wake na zishuke salaamu kwa wingi.
SABABU YA KUANDIKA RISALA HII. Baada ya kuona dini ya uislamu imevamiwa na mapote mengi ya kikafiri na mengine yanajinasibisha na uislamu yote yanachangia katika kuuvuruga uislamu na kuichafua sura yake.Na katika mapote ambayo asili yake ni uyahudi ni pote la freemason ambalo limeibuka kwa kasi,kwa kweli mimi binafsi nilipozisikia habari zake nilishtushwa sana kuliko kawaida,kutokana na njia zake za siri wanazozitumia na hasa nilipoona haipiti kwangu siku kwa wakati wetu wa leo ila mara nyingi nazisikia habari zao za ajabu na za kutisha,kila uendapo utasikia habari za freemason,ukaapo freemason,ulalapo freemason,uamkapo freemason,huyu freemason, Yule freemason,na Fulani freemason,kila kitu freemasonfreemasonfreemason!!! Ni dude gani hilo freemason ? ndipo nilipoona ipo haja ya kuchukua nafasi hii kwa dharura kama mchanga unavyochukua nafasi ya maji katika kutayamamu baada ya kukosenana maji,na mimi ndipo nilipoanza kuzifuatilia kwa haraka haraka na kujaribu kufanya utafiti kupitia vitabu vya aqeedavya Ahlisunnah miongoni mwa vitabu nilivyovitazama ni kitabu kiitwacho (Al-aqeedatu wal-adyaan wal-ittijaahaatul-muaaswirah) na (Al-mausuuatulmuyassarah ). Nikagundua kwamba freemason ni kina nani? Na ni yapi malengo yao ? na je wale ambao nilikuwa nazisikia habari zao mitaani ndio wao? Kwa hivyo basi nikaanza kuinyanyua kalamu kwa msaada wa Allaah na kuanza kuikusanya risala hii kupitia vitabu nilivyovitaja na kuipa jina (HAWA NDIO FREEMASON ) kutokana kwamba kila mtu anawazungumza anavyoona yeye.

FREE MASON NA MAFUNGAMANO YAO NA MAYAHUDI

()

1- MAANA YA FREEMASON (AL-MASUUNIYYAH)

2- ASILI YA NENO HILI YAANI (FREE MASON - )

3- ALAMA ZA FREEMASON

FREEMASON
4- CHIMNBUKO LA FREEMASON

FREEMASON

FREEMASON

5- MUASISI(MUANZILISHI) WA FREEMASON

6-MAUQIFU (MSIMAMO) WA FREEMASON KUHUSU UISLAMU

7-LINI WALIJITOKEZA FREEMASON KATIKA ZAMA HIZI NA NI ZIPI SABABU ZA KUJITOKEZA KWAO?

8- SAMPULI ZA FREEMASON: () SAMPULI YA KWANZA. () SAMPULI YA PILI. () SAMPULI YA TATU.

9- MALENGO YA FREEMASON KATIKA ZAMA HIZI 10- VIZIWIZI AMBAVYO VINAWAZUIA KATIKA KUYATHIBITISHA MALENGO YAO.

SURA YA KWANZA MAANA YA FREEMASON (AL-MAASUUNIYYAH)

Freemason ni chama cha kiyahudi cha siri chenye kuangamiza kinasifika kwa ugaidi,kina mikakati madhubuti na malengo maalum na makusudio ya kuwasaidia mayahudi juu ya kutaka kuuteka ulimwengu, kinaendesha kazi zake kwa njia za siri,hali ya kuwa kina makusudio mama ya kutaka kuyathibitisha maslahi makubwa ya mayahudi na kipo safarini chama hicho katika kuandaa mikakati na miundo mbinu ya kutaka kusimamisha DOLA kubwa ya wana izraili,kinalingania chama hicho ( freemason) katika il-haadi(ukafiri),kuruhusu,ufisadi,na kinajificha chini ya nembo zenye kuhadaa nazo ni: Uhuru,udugu,usawa,ubinadamu.

SURA YA PILI

FREEMASON

FREEMASON

FREEMASON

ASILI YA NENO HILI (FREEMASON) Freemason nalo ni neno ambalo linawahadaa wenye kulisikia na linawapa dhana ya kwamba maana yake ni kazi bora na yenye heshima na utukufu,na linanasibishwa neno hili (freemason)kwa muanzilishi wa kikundi au chama hicho,na jina la mmoja katika wao huitwa kwa lugha ya kiingereza (freemason), na kwa lugha ya kiarabu (Al-maasuuniyyah- ) likimaanisha mjenzi huru au wajenzi huru (al-bannaaul-hurru au al-bannaauunal-ahraar- ) .Na wanadai kwamba watajenga Hekalu la nabii Suleiman-swala na salamu zimfikie-nayo ni ishara ya kuuteka ulimwengu(ili uwe ulimwengu wa kiyahudi) SURA YA TATU ALAMA ZA FREEMASON () Kudai uhuru: Chini ya kivuli hiki cha kudai uhuru ndani yake kuna kuzipiga vita dini isipokuwa uyahudi na wanaueneza ufisadi na fujo. () Kudai udugu: Chini ya kivuli hiki cha kudai udugu,wanajaribu kuyapoza mataifa mbalimbali ambayo yanawachukia mayahudi ili wasiwachukie kwa sababu eti wote ni ndugu. () Kudai usawa: Na chini ya kivuli cha kudai usawa,wanatangaza kampeni za kiuchumi na kisiasa na kuchochea pamoja na kuhamasisha kunyanganya haki za watu na mali zao pamoja na kuwavunjia heshima na kufanya fujo, pia wanahamasisha ukomonisti na ujamaa. Pia katika alama zao na itikadi walizokuwa nazo ni kama ifutavyo: (1) Freemason wanamkufuru Allaah mtukufu,na mitume wake,vitabu vyake, na mambo yote ya ghaibu(yasiyoonekana) na wanayazingatia hayo ni katika mambo ya uongo wanafananya hivyo ili kutaka kuzivunja na kuziangamiza dini. Kuziangusha tawala zote za kisheria,na kuziondoa kanuni na hukumu za ndani ya nchi katika miji mbalimbali na kuiteka miji hiyo. Kuipa uhuru kila jinsia na kumtumia mwanamke kama nyenzo ya usaliti. Kuwagawa watu isipokuwa mayahudi katika kuyafanya mataifa yapigane yenyewe kwa yenyewe kwa muda mrefu. Kuwatumia silaha. Kueneza sumu ya mzozo ndani ya mji mmoja Kuibomoa misingi ya maadili , fikra, dini na kueneza fujo,ugaidi, na ukafiri. Kutumia rushwa na hasa kwa wenye vyeo ili kuwatumikia freemason na kutumia kanuni feki inayosema: (Lengo linasafisha njia). Mtu ambaye anaitikia matashi yao na anawaunga mkono,basi watampa sharti mtu huyo ajiweke mbali na kila uhusiano wa kidini,kitabia,kinchi na ayafanye mapenzi yake yote yawe kwa ajili ya freemason tu. Mtu akiyumbayumba akawa haeleweki au akapuuza chochote kile hatimaye watamfedhehesha mtu huyo fedheha kubwa na huenda mwishowe ni kuuwawa tu. Wanawatumia viongozi wa dola mbalimbali ili kuyafanikisha malengo yao ya hatari tena yenye kuangamiza. (12) Wanayatumia mabango,magazeti,matangazo,vyombo vyahabari,kama silaha za maangamizi zinazoathiri kwa kiwango cha juu sana.

(2) (3) (4) (5) (6) (7) (8) (9)

(10) (11)

FREEMASON
(13) (14)

FREEMASON

FREEMASON

(15) (16)

Kusambaza habari mbalimbali za uongo na propaganda mpaka zinakuwa kama za kweli na habari za kweli katika jamii zinageuka kuwa za uongo. Kuwaita vijana wa kiume na wa kike katika kuzama ndani dimbwi la uchafu,na kuwakusanyia sababu za kuyapata machafu na kutoa ruhusa ya mawasiliano katika mambo ya haramu,na kuyadhoofisha mafungamano ya ndoa na kuuvunja uhusiano wa kifamilia. Kuwaita watu katika chaguo la utasa(ugumba) pamoja na uzazi wa mpango kwa waislamu. Kunatimia kumkubali mwanachama (mjumbe) mpya katika mazingira mabaya mno yenye kutisha na mageni,kwani atapelekwa na kuongozwa mwanachama huyo kwa kiongozi mkubwa hali ya kua amefungwa (mjumbe huyo) kitambaa machoni sawa na kula kiapo cha kuhifadhi siri,na kitafunguliwa kitambaa hicho ghafla zitachomolewa panga zinazoelekezwa shingoni mwake na hali ya kuwa mbele yake kuna Agano la kale,na pembizoni mwake kuna chumba chenye giza kali sana, ndani ya chumba hicho kuna mafuvu ya vichwa vya watu waliouwawa, na zana za kiinjinia zilizotengenezwa kwa miti,yote ni kwa ajili ya kumtisha mwanachama huyo mpya wa freemason.

SURA YA NNE CHIMBUKO LA FREEMASON

Wametofautiana wana historia kwamba lini ilianza na kujitokeza freemason?,lakini pamoja na tofauti hiyo wana historia wote wana afikiana kwa mambo yafuatayo: (1) Kugeuka kwake na kubadilisha misamiati yake na taratibu zake,kwa kufuata maslahi ya mayahudi na malengo yao,na kutokana na kubadilika mataifa,dini, na zama (nyakati). Basi chama hicho cha freemason kimenyanyua nanga yake muda mrefu na bado kipo safarini katika kueneza fikra zao,kwa maana hiyo basi ,freemason wanapatikana katika kila zama na katika kila taifa kwa kuwa na sampuli maalum ambazo watafanikisha kwa sampuli hizo kuwatumikia mayahudi.
Na chama hicho cha freemason bado kipo katika mchakato wa kuendeleza historia yake ndefu,kilikuwa chama hicho kina nguvu na kinafanya kazi zake hali ya kujificha,kwa hiyo basi hakuna hata mmoja katika wana taareekh (historia) ambaye anathubutu kusema kwa kukata moja kwa moja kwamba freemason ilianza lini,isipokuwa wengi katika watafiti wanaipa nguvu kauli inayosema kwamba freemason ilianza katika karne ya kwanza ya kuzaliwa Issa mwana wa Maryam (Yesu) sawa na mwaka wa 43 toka kuzaliwa kwa Issa mwana wa Maryam (nabii Issa) swala na salamu zimshukie. SURA YA TANO MUASISI (MUANZILISHI) WA FREEMASON Kwa hakika freemason ilianzishwa na viongozi wa mayahudi kwa wakati huo,pamoja na wasaidizi wao wakiongozwa na mfalme wao anaejulikana kwa jina la Hairoodus kwa lengo la kutaka kuzuia kuenea

(2)

FREEMASON

FREEMASON

FREEMASON

ukiristo ambao ulikuwa kwa wakati huo unaenea kwa kasi na wanakithiri wafuasi wake,na kwa wakati huo walitambulika freemason kwa jina la nguvu za siri (secret power). Hakika freemason walifanya kazi kubwa na ya ziada ya kuwapiga vita wakiristo na dini yao,na kuwafukuza wafuasi wao. Na katika mambo muhimu katika hayo ni kwamba freemason waliweza kuzibadilisha itikadi za kikiristo na kuvipotosha vitabu kama vile:Injili n.k,na kuzipotosha sheria mbalimbali kwa lengo la kuharibu dini.

SURA YA SITA MAUQIFU (MSIMAMO) WA FREE MASON KUHUSU UISLAMU Na mwanzoni mwa uislamu hawakujulikana freemason kwa sifa maalum iliyozoeleka kama ilivyokuwa hivi leo,au kama ilivyokuwa mwanzoni ulipodhihiri ukiristo,isipokuwa walikuwa freemason wana athari zinazotokana na harakati za mayahudi katika kujaribu kuufanyia vitimbi na njama uislamu na waislamu,kama alivyofanya Abdullaah ibn Sabai (myahudi) alipokuwa ameanzisha bidaa ya ushia na kumtakasa Aliy ibn Abii Twaalibi-Allaah amridhie.

SURA YA SABA LINI WALIJITOKEZA FREEMASON WA ZAMA HIZI,NA NI ZIPI SABABU ZA KUDHIHIRI KWAO? Katika karne za mwisho walidhihiri freemason kwa namna ya wazi wakati zilipobadilika namna zao na taratibu zao,kwa kwenda sambamba na mabadiliko ya kifikra na kisiasa na kitabia mabadiliko ambayo yameibuka ulimwenguni kwa kasi pindi walipodhoofika waislamu(hali ambayo inasikitisha na ni majuto makubwa ) kwa kuwa mbali waislamu wengi na dini yao,na wakawa na nguvu wengine kinyume na waislamu,wakazitanguliza sababu za maisha ya dunia dhidi ya Akhera,na katika mazingira haya mapya na hali hizi mpya walidhihiri freemason wa zama hizi mwaka 1770. Na kuanzia hapa mayahudi waliwawekea freemason mbinu na taratibu mpya zinazoenda sambamba na mabadiliko ya mataifa na zinazo afikiana na malengo rasmi ya mayahud kwa sasa.

SURA YA NANE SAMPULI ZAO: Wanagawanyika freemason (kwa kufuata malengo yao ambayo wamewekewa na mayahudi) katika sampuli tatu:

FREEMASON
(1)

FREEMASON

FREEMASON

(2)

(3)

Sampuli ya kwanza: Freemason Ramziyyah (yaani freemason wa ishara),hawa wanajidhihirisha kwa nembo ya jumuiya ya kheri ambayo inalingania katika udugu na wanapanda wafuasi wake vyeo na darja za juu, na darja yake ya juu ni darja ya thelathi na tatu,baada ya mitihani rasmi migumu na yenye kutisha,na nembo yake ni nyoka mwenye vichwa vitatu.Na wanafanya juhudi kubwa freemason wa sampuli hii kutaka kuwaingiza katika uwanachama viongozo wa nchi na dola mbalimbali pamoja na mawaziri wao na watu wenye sauti katika miji ambayo wanailenga ili wahakikishe mahitaji yao kupitia viongozi hao, na ili yawe mepesi mahitaji yao kupitia wao. Sampuli ya pili:Freemason Al-muluukiyyah,freemason ya kifalme,na sampuli hii ni muendelezo wa sampuli ya kwanza (freemason Ramziyyah) isipokuwa sampuli hii inadhihirisha mapenzi yake katika kuwapenda mayahudi na kuipenda Injili,lakini wanalenga moja kwa moja katika kutaka kusimamisha dola ya wana izraili na kulijenga Hekalu la Suleiman (nabii Suleiman swala na salaamu zimshukie). Sampuli ya tatu: freemason Al-kauniyyah,yaani ni freemason wa dunia,na sampuli hii haijulikani isipokuwa maalum kwa mayahudi,na lengo lake ni kusimasmisha ukomonisti wa dunia na kuchochea fujo na mapigano katika dunia hali ya kuwa ni maandalizi ya kusimamisha dola ya kiyahudi ambayo wanaiita Mamlakatu Israaiilil-udhmaa(falme kubwa ya izraili) na sampuli hii haina kituo isipokuwa ni kituo kimoja tu kinachojulikana kwa jina la Mahfal na makao yake ni Newyork Amerka, na hakuna anaeweza kuingia huko isipokuwa watu wachache katika mayahudi wakubwa kwani hakuna anaekujua huko kinyume na wao.

SURA YA TISA MALENGO YA FREEMASON KATIKA ZAMA HIZI Freemason wanawatumikia mayahudi ili kuwaletea maslahi makubwa kwa namna zifuatazo: () Kuanzisha jamhuri zisizokuwa za kidini ambazo zinakuwa chi ya utawala wa mayahudi ili upatikane wepesi wa kuzivunjilia mbali jamhuri hizo unapofika wakati na ahadi ya kusimamisha dola kubwa ya wana izraili. () Kuzipinga dini zote zilizopo isipokuwa uyahudi,na kuhamasisha nchi zote za kikafiri na kuzihami (kuzilinda),na makusudio ya dini zote hapa ni dini ya uislamu na ukiristo,ama dini dini nyingine hazina umuhimu kwaokwa sababu hazina hatari katika mambo yao na maslahi yao. () Hatimae wanachokikusudia freemason ni kuasimamisha dola ya Izraili (falme kubwa ya Izraili) na kumvalisha taji (crown) mfalme wa mayahudi ambaye anatokana na kizazi cha Daudi,kisha kuutawala ulimwengu na kuutweza kwa kujipa kwamba wao ni Taifa Allaah lilochaguliwa(Shaabullaahil-mukhtaar) wakikusudiwa mayahudi.

SURA YA KUMI VIZIWIZI AMBAVYO VINAWAZUIA KATIKA KUYATHIBISHA MALENGON YAO Hakuna anayewazuia katika kuhakikisha malengo ila Allah kisha muamko wa waislamu na kushikamana kwao na dini yao,na kushikamana kwao na kitabu cha Allaah na sunna za mtume wake-swala na salaamu zimshukie- na kukusanyika kwao juu ya bendera ya tauhiidi,na kuipigania dini ya Allaah (jihadi) kama

FREEMASON

FREEMASON

FREEMASON

walivyokuwa waisalamu katika zama zilizotangulia huko nyuma siku waislamu waliwashinda mayahudi na wakawatweza na kuwadhalilisha na wakawatoa katika jaziratul-arab kama alivyosema Allaah mtukufu:


( Wanasema tukirejea madina mwenye atamtoa mnyonge kutoka katika mji huo na Allaah ana nguvu (ushindi) na mtume wake na waislamu na lakini wanafiki hawajui) suuratul-munaaquuna aya ya 8 Na freemason wanazo taratibu nyingi tena za hatari kwa ajoili ya kumuangamiza kila Yule ambaye atakaejaribu kuzifichua siri zao,au kuasi kwa kuzifundsha vyovyote itakavyokuwa darja yake mtu huyo,na pamoja na hayo yote zimerudi patupu njama zao katika miji mingi na limefichuka jambo lao.Isipokuwa wamekuwa freemason wanajitokeza kwa sampuli tofauti tofauti kijamii,kisiasa kifira,na kiuchumi. Na wanadhihiri kwa kuweka jumuyia na vyama kwa majina tofauti tofauti kwa mfano: (1)Jumuiya inayojulikana kwa jina la (Bnai Brith ) yaani watoto wa ahadi,kwa hakika imeanzishwa jumuiya hii mwaka 1834 Newyork Amerka ,na hakika hali na mambo yalivyo hii jumuiya dhahiri yake ni jumuiya ya kheri inayosaidia jamii ya kiyahudi isiyojiweza pamoja na kuiteteta jamii hiyo na hali ya kuwa jumuiya hii nitawi la freemason wa dunia linafanya kazi zake hali ya kukusudia kuiteketeza dini na tabia pamoja na kusababisha mmomonyoko wa maadili ya dini na nidhamu zake. (2) hama kinachojulikana kwa jina la ( ions Internaonal lubs) yaani chama cha simba wa kimatifa,nachoni chama cha freemason ambacho makao yake makuu ni Amerka,nayo ina uhusiano na jumuiya ya (Bnai Brith) iliyotajwa hapo kabla na vyama hivi vyote vina wafanya kazi wa siri katika kila kona ya dunia ambao wanakia idadi yao takriba wanachama 5,00000, (3) hama kinachojulikana kwa jina la (Rotary lubs) nacho ni chama dhahiri yake kina rahma (huruma) na ndani yake kina adhabu,na hakika kimeanzishwa chama hiki mwaka 1323 tokea kuhama mtume Muhammad-swala na salaamu zimshukie-kutoka Makkah kwenda Madina sawaz na mwaka 1905 tokea kuzaliwa kwa Issa mwana wa Maryam(nabii Issa-swala na salaamu zimshukie-)kikiwa kipo chama hiki katika mikono ya Bool Haares huko hikago Amerka, kisha kikaendelea mpaka kikafika katika kila kona ya ulimwengu,nacho kina muelekeo wa hadaa kinaficha nyuma yake malengo ya kiyahudi katika kutaka kuziteketeza nguvu zote za kiutawala duniani na hatimae kusimika utawala wa kiyahudi unaojulika kwa jina la ufalme wa simba wa kimataifa( ions international Kingdom).

(
IMEKAMILIKA KATIKA WAKATI WA ISHAA USIKU WA IJUMAA TAR. 9 8 1433H=28 6 2012M. PONGWE-TANGA-TANZANIA

ABULABUL-AALIYAH UMAR MUHAMMAD KONDO

FREEMASON

FREEMASON

FREEMASON

You might also like